TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,202
- 25,378
Asante sana kijana.Mama ako anajua umri wangu
Wazee huwa tunafurahi tu, maana tumekwepa mishare ya kila aina, so tayari umri wako umefahamika 👏🏾!.
Kuna siku utaelewa na muda utakuwa umekutupa jinsi akili yako ilivyo.
Laiti ungerejea point of you na kuelewa sababu ya kuni_quote sidhani kama ungefikia kutoa matusi.
Top to all good, hii ndo JF😄!.
!.
!.