Kikulacho kinguoni mwako

Kikulacho kinguoni mwako

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
86
Ndugu zetu Tanganyika kwa mika mingi hamkutaka kukisikia kilio cha ndugu zenu wa Zanzibari,mlikuwa mnawakejeli pale dola linapowatesa na kuto watendea haki ,leo ndugu zetu mmebaini na kuelewa hadaa na ulahai wa vingozi , kwa kiasi fulani naweza kusema kinachotendeka bara ni robo tu ya machungu tunayoishi nayo huku zanzibar .Mabadiliko ya upande wowote katika jamuhuri ya mungano wa TANZANIA ndio utakuwa mwanzo wa Maendelo nakuondokana na mawazo finyu tunayo bambikizwa na viongozi.


(hakika ya vitamu vinasumu ndani yake)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom