Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 446
- 568
Ndugu yangu musidanganyike
Kuna watu wanadanganya wenzao waombe kazi sehemu ambazo hata hawana malengo nazo kwa lengo la kuhama wakishalata ajira.
Utajuta uhamisho ni kipengele.