Kikosi cha wachezaji 23 cha Taifa Stars AFCON 2019 chatajwa

Abdi Banda ni mchezaji mzuri sana nafkiri kocha ana aleji naye, sioni sababu ya kuweka makipa 3 wakati hatuendi mbali, Nikiicheck Senegal naona hapa kuna mkono cku ya kwanza kucheza
Hujasikia Bench la ufundi limeongezwa? Tumeongeza wataalam wawili wa ki Misri, mmoja ni bingwa wa viwango na mwingine misuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…