Kikosi cha mizinga ktk maandalizi ya mwaka mpya

Mtengwa II

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
851
1,406
25550644_216421042234600_2938456218115581156_n.jpg
 
kumbe bado IPO sisi enzi kuna mzee alikuwa anaitwa malendeja alikuwa na gobole tulikuwa tunamvizia kalewa tunamuibia ile baruti tunaenda kufanya yetu kitaa na tulikuwa tunatumia kichwa cha plug
 
ogopa sana baruti ya kichwa cha plug, kuna madogo mwaka jana walikuwa wanailipua nilikuwa nacheka sana.

Maana mzee wangu alikuwa anajua ni mabomu, ana mind sana 'watoto wa mtaa huu washenzi sana" yaani nilikuwa natamani muda wote walipue kumpa mzee kashikashi maana ni mkoloni sana
 
those days at majengo kwa mtei kulee moshi kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom