DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Kikosi cha 830 JKT Kibiti, Kanali Mohamed Mruma akiwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mwampashe ambaye ni Kaimu Operesheni Ofisa wameongoza mazoezi ya pamoja ya vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Kipolisi Rufiji kwa kufanya matembezi ya ukakamavu katika barabara kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.
Matembezi hayo ni mwendelezo wa ushirikiano na mshikamano kwa vyombo vya ulinzi vilivyopo katika Mkoa wa Kipolisi Rufiji kwa kufanya mazoezi ya matembezi ya pamoja.
Matembezi hayo ni mwendelezo wa ushirikiano na mshikamano kwa vyombo vya ulinzi vilivyopo katika Mkoa wa Kipolisi Rufiji kwa kufanya mazoezi ya matembezi ya pamoja.