OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,326
- 104,264
Bonus
T. Lwanga sio kiungo wa kwanza duniani kwa aina yake ya uchezaji, wapo wengi na wanasurvive tu. Siku refa akiona kuwa lwanga kazidisha ugumu na anastahili kadi basi atamwonyesha.Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
Huu ndiyo upuuzi wa Afrika.
Inashangaza sanaLabda kama sio cha CAF mana mpaka sasa Al Ahly hajacheza ila kipa wao yupo kwenye kikosi chako
Kaka kwa playing style ya Lwanga kupata kadi nyekundu ni kawaida, tazama mtu kama casemiro na fernandinho ndivyo Lwanga alivyoAkiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
Baadhi yao ni kamaT. Lwanga sio kiungo wa kwanza duniani kwa aina yake ya uchezaji, wapo wengi na wanasurvive tu. Siku refa akiona kuwa lwanga kazidisha ugumu na anastahili kadi basi atamwonyesha.
Vinginevyo maneno ya mashabiki wengine ni takataka maana hata sheria za soka hawazijui, wamejawa na mihemko tu.
Man down!Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
maana yake kuna wakali zaidi yakeDaaah yule beki Ubawa wa AS VITA mbona hayupo hapo. Maaana yule Bw.Mdogo ni mtu na Nusu
Hiyo haina shida, hata wakata umeme mashuhuri kina Patrick Viera walikuwa wakichezea kadi kila sikuAkiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
Yule anaitwa Tactical midfielder na moja ya kazi zake ni kusababisha tactical fouls inapotokea hatari.Na hizi fouls anatakiwa azifanye kabla mtu hajaingia kwa box.Zile faulu zake nyingi Ni za kupanga si za bahati mbaya.Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.