Mkuu hulali?Wachezaji Watano REAL MADRID
Wachezaji wawili BARCELONA
wachezaji watatu JUVENTUS
na mchezaji mmoja PSG
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Mkuu NalalaMkuu hulali?
Mkuu,zile ni tuzo za wacheza soka. Uingereza wanacheza rugby.Uingereza hakuna mchezaji alieingia hahaha
Hahahaha mwakani Man u watatoka kwenye rugby na kuingiza wachezaji kwenye hicho kikosMkuu,zile ni tuzo za wacheza soka. Uingereza wanacheza rugby.
Wawili PSG.....Dani alves na NeymaWachezaji Watano REAL MADRID
Wachezaji wawili BARCELONA
wachezaji watatu JUVENTUS
na mchezaji mmoja PSG
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Man Cty watafanikiwa nimeona Gabriel Jesus ameonyesha njiaHahahaha mwakani Man u watatoka kwenye rugby na kuingiza wachezaji kwenye hicho kikos
Daah hivi kweli nilijisahauWawili PSG.....Dani alves na Neyma
Alves yupo psg saizi mkuu??Wawili PSG.....Dani alves na Neyma