Woyoooo
Man U tumepitisha wachezaji watatu, zaidi ya timu zote za Uingereza.
Ila hizi Rating za hovyo. Mbappe nilitegemea awe na Rating za juu kuliko wote.
Wengine watadandia, mbona hakuchukua mchezaji bora? It is obvious that the best player should be within the winning team.