Kikongwe wa miaka 84 abakwa

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Dunia sijui imevaa nini wajameni??

kijana wa miaka 32 ambaka bibi mwenye miaka 84 halo news: 84 Year Old Lady has been subjected to a boy Year 32
 
Dunia sijui imevaa nini wajameni??

kijana wa miaka 32 ambaka bibi mwenye miaka 84 halo news: 84 Year Old Lady has been subjected to a boy Year 32
Na kwa jinsi mahakama zetu zilivyo usishangae kuambiwa ushahidi upande wa mlalamikaji haukuweza kumtia hatiani mtuhumiwa
 
Yeuwiiiiiiiiie auwiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii jaman nife au nibaki. Yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeee
 
Ibilisi katika ubora wake! Katutupa kwenye giza totoro,tunapuyanga hovyo huku akili muda mwingi ikiwa likizo.
 
Back
Top Bottom