Kikomo cha SMS kwa mtandao wa Airtel

Kikomo cha SMS kwa mtandao wa Airtel

mbwadinho

Senior Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
180
Reaction score
102
HabarI zenu jamani, naomba msaada kwanini nikitumia SMS kwa muda mrefu mwisho wa siku natumiwa SMS na Airtel ikisema nimefikia kikomo cha kutuma SMS.

Msaada tafadhali kwa anayejua hili tatizo
 
Ndo walivyo hao naona wanakiwango chao cha SMS kwa siku
 
HabarI zenu jamani, naomba msaada kwanini nikitumia SMS kwa muda mrefu mwisho wa siku natumiwa SMS na Airtel ikisema nimefikia kikomo cha kutuma SMS.

Msaada tafadhali kwa anayejua hili tatizo
Mkuu hujui kuwa ukijiunga kifurushi unaambiwa kabisa hiki kifurushi kina dakika kadhaa, mb kadhaa na sms kadhaa? Kama vipi jiunge kifurushi cha mwezi cha sms tu kwa buku mbili nadhani sms 10000 huwezi kuzimaliza utatuma mpaka uchoke mwenyewe
 
Mkuu kifurushi kinakuwa hakijaisha ila zikifika SMS kadhaaa walizopanga hauwez kutuma SMS mpaka ifike SAA sita usiku
 
Back
Top Bottom