Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-

Discussion in 'JF Doctor' started by Ehud, Apr 5, 2011.

 1. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu ambapo anadai kuwa inatibu ukimwi kwa kunywa kikombe kimoja tu. Hata hivyo tofauti na watoa vikombe wengine huyu kikombe chake kinauzwa kwa 20,000/-.

  GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sasa serikali iingilie kati hili swala..
  Na vyombo vya habari visiruhusiwe kutanngaza hivi vikombe hadi kwa kibali
   
 3. B H

  B H Senior Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa raia wananichosha sasa
   
 4. digger2002tz

  digger2002tz Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mtu anatafuta pa kupunguzia makali ya maisha.....
   
 5. N

  Nyangaluda Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 25
  jamani hivi hakuna mtu anayeoteshwa kwa kutumia vitu vingine? maana kila anayeibuka anadai kaoteshwa kutoa dawa kwa kutumia kikombe! huu sasa utakuwa ni ubabaishaji
   
 6. L

  Leliro Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waacheni wapunguze hali ngumu ya maisha, huko kijijini hali ni ngumu kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watanzania mataahira kweli na hata huko watakwenda!
   
 8. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Hivi anayewapa kichwa ni nan hawa baadhi ya waganga wa kienyeji, halafu cha kushangaza ni tanzania tu.mimi nazani yaliotabiliwa sasa yameanza kuti mia taratibu,nilikuwa najaribu kupitia website moja inayojulikana kama FAMILY RADIO kwa hesabu ya KIBLIA TAREHE 21-05-2011 ni siku ya ukumu for more detail go through that website nikilingamisha na hivi vikombe nguvu zinaniishia
   
Loading...