Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Nov 22, 2013 #41 Judgement said: Ni wapi ulipo shemeji Ladymasa ? Itakua ni nchi ya ahadi ya kula Asali na Maziwa ! Click to expand... Haswaa karubu huku maana hata kutembea siwezi kulivyo na raha huku
Judgement said: Ni wapi ulipo shemeji Ladymasa ? Itakua ni nchi ya ahadi ya kula Asali na Maziwa ! Click to expand... Haswaa karubu huku maana hata kutembea siwezi kulivyo na raha huku
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Nov 22, 2013 #42 huyu waziri megabyte ataki kusema km kuna mgao
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Nov 22, 2013 Thread starter #43 Honey Faith said: huyu waziri megabyte ataki kusema km kuna mgao Click to expand... Nakusikia "Itikadi ya Asali" hii ministry ya Nishati ilipofika yafaa iongozwe na P.M labda itasaidia !
Honey Faith said: huyu waziri megabyte ataki kusema km kuna mgao Click to expand... Nakusikia "Itikadi ya Asali" hii ministry ya Nishati ilipofika yafaa iongozwe na P.M labda itasaidia !
YNNAH JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,706 Reaction score 974 Nov 22, 2013 #44 Ladymasa said: Haswaa karubu huku maana hata kutembea siwezi kulivyo na raha huku Click to expand... Best unatumia screen touch nini? Naona hiyo karibu ulivyoiandika hapo....
Ladymasa said: Haswaa karubu huku maana hata kutembea siwezi kulivyo na raha huku Click to expand... Best unatumia screen touch nini? Naona hiyo karibu ulivyoiandika hapo....