Kikombe hiki ni kwa ajili yetu tu ?

Kikombe hiki ni kwa ajili yetu tu ?

japo hili sio jukwaa lake, Pasco unamwamini Prof. Muongo kuwa hakuna mtz anayeweza kuwekeza kwenye umeme?
 
Last edited by a moderator:
Shem Chocs ! Inauma - inauma! My first bon youngboy yuko form two , nimemnunulia fridge yake maalumu ya biashara ya Barafu (ice cream) na ameajiri kijana wa kufunga/kuuza .
Max per day anapata Tsh 16,000
Check pigia 20 days per month 10 days zitoe (weekend)
16,000 x 20 = 320,000
Then kupata hesabu ya mwaka pigia miezi 10 hiyo miwili iache kwa likizo (kwakua muuzaji wake anazungusha kunako mashule)
320,000 x 10 = 3,200,000 .
Majukumu aliyonayo fees yake ya shule , na takataka zake zote in general vinatoka hapo, anamlipa mshahara muuzaji, amenunua baiskeli ya kuzungushia ana madeli ma 3 , analipa umeme wa nyumba nzima , aidha sometimes nakuta amenisaidia majukumu madogomadogo yasio yake mf. Mara kadhaa nakuta amekimu demand za wadogo zake wa primary .
Leo wamemwaga Barafu pakti 300! Zimechacha !
Kisa Prof. Sospeter !

Duuh!! So painfull
 
Last edited by a moderator:
Tanesco blood msondongoma nyie bendi ya zamani !
Ndiyo maana Baba yenu mwanamme nyie !
Blood Paka power everedy nyie!
 
hicho kikombe ni kwajaili yako wewe mtanganyika na watanganyika wenzako
Kikombe hiki cha machungu ya mgao wa umeme , eee Mwenyezimungu tuepushie .
Leo Mwanza City imekosa power zaidi ya 30hrs !

Nimekosa specific name huu mgao niupe jina gani ?
Kwengineko nimeuita "mgaodume" but still naona ni jina jepesi .

Haina ubishi kua watanzania wote tu'wadausugu na mahiri wa mgao , lakini walau migao iliyopita ilikua ya maeneo , hapa upo pale hawana .

Huu wa safari hii ni hawana - hawana! Hakunapo pa kukimbia walau uchaji hata simu .

Prof. Sospeter SHKAMOO !
Wenzako waliopita ni kama walitupenetrisha Kifinga !
Wewe umekuja kumalizia full- mkono! Tena hadi kwenye kiwiko!

Khaa!! nimeghadhabika hadi nikajikuta Thrade ya kwanza kulalamikia hili suala nimeipeleka kwenye jukwaa la "mambo ya kikubwa!" wadau wa kule wakanishtua " Judgement umebugi zizi ," kuitoa kule nikajikuta nimeipeleka kwenye "Jokes , Utani , Udaku , Gossips"
eee Mungu tuepushe na kikombe hichi .
 
hicho kikombe ni kwajaili yako wewe mtanganyika na watanganyika wenzako

Hivi ladyfurahia wafahamu kuna watanzoo wanaotamani , ni bora wangezaliwa wakiwa farasi wa Prince Charles , kuliko binadamu wa kitanzoo !
 
Last edited by a moderator:
Kweli mnakosa uhondo,poleni sana ndugu zanguni.
Nalog off
 
Pole shem wangu

Pambaaafu zao kabisa!

Back
Top Bottom