kamanda umesomea wapi uandishi wa habari. unataka kujifananisha na mwandishi nguli wa kimataifa ? hivi unajua aina za uandishi wa habari. hivi unajua uandishi wa mfumo wa HARDTALK.!!Leo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Ki? ?ke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.
Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
Kijasho kimemtoka,alifikiri Kikeke ni kama watangazaji wa deutch vele ambao huwa wanambeba kwa maswali ya kitotoNimefurahishwa sana Salimu Kikeke alivyomuhoji Seif
Kwasababu Seif hakuwa na hoja za msingi kwanini hwakushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar
Ndo nini umeandika!!! Ebu soma tena alafu uone kama ulichoandika kiko sahihi.Waandishi wa BBC siyo wa Tz Daima, kumpamba mtu.
Ukiulizwa swali usitoe hotuba jibu ndiyo au hapana na sababu zake.
Jamaa amekuwa mpaka aibu yaniiKijasho kimemtoka,alifikiri Kikeke ni kama watangazaji wa deutch vele ambao huwa wanambeba kwa maswali ya kitoto
Weledi wa habari hasa vyombo hivi vya BBC. DW. CCTV .. hakuna siku mtangazaji atasimama upande wa upinzani katuSalim anataka maalim seif amjibu anavyotaka, ni aibu mtangazaji kutaka kumpangia mtu cha kujibu.
Sasa hapo alipombana wapi?Leo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.
Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
Hivi salim ni muandishi nguli wa kimataifa, umetumia vigezo vipi?acha ukenge na ulofa kamanda. umesomea wapi uandishi wa habari. unataka kujifananisha na mwandishi nguli wa kimataifa ? hivi unajua aina za uandishi wa habari. hivi unajua uandishi wa mfumo wa HARDTALK.!!
Leo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.
Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
Kwanini amuite kumhoji wakati asingependa majibu ya maalim yasikike kwa watu fulaniSalim Kikeke AMESHINDWA KUONYESHA WELEDI WAKE. Yeye ndio kamwita Maalim Seif studio halafu badala ya kumpa nafasi ajibu yeye anampigia kelele. Hii ndio extremely unprofessional episode toka BBC SWAHILI niliyowahi kuona. Ni kama Sam Mahela si alipomhoji Mch. Peter Msigwa. Hua wanaogopa kwamba baadhi ya majibu yanayotolewa YATAWAKERA WATAWALA FULANI.
Mahojiano gani yenye majibu ya NDIYO au HAPANA tuMtu kapewa dakika 3 za kujieleza snataka aanze kuhubiri, kipindi kile hakina muda wa mjadala zaid ya ndio na hapana kwa sababu ya msingi na sio historia
una elimu gani ya uandishi kamanda kuweza kumkosoa Kikeke. unajua ifike wakati tupime yapi ya ushabiki na yapi ya kizalendo. kaukluzwa swali la msingi sana lakini akawa anakwepa kujibuHivi salim ni muandishi nguli wa kimataifa, umetumia vigezo vipi?
Na akiwa nu muandishi nguli hawezi kukosea.?
Hoja si swali na jibu. Hoja ni approach ya Kikeke kuwa haikuwa nzuri.una elimu gani ya uandishi kamanda kuweza kumkosoa Kikeke. unajua ifike wakati tupime yapi ya ushabiki na yapi ya kizalendo. kaukluzwa swali la msingi sana lakini akawa anakwepa kujibu
Soma tena na tena,Ndo nini umeandika!!! Ebu soma tena alafu uone kama ulichoandika kiko sahihi.
Wewe ndo una tatizo la uelewa, utajibuje ndiyo hau hapana kwenye swali linalo itaji explanation.Soma tena na tena,
Waweza kuwa na tatizo la uelewa!
Mtu kapewa dakika 3 za kujieleza snataka aanze kuhubiri, kipindi kile hakina muda wa mjadala zaid ya ndio na hapana kwa sababu ya msingi na sio historia
Tatizo labwanadiasa wetu, badala ya kujibu kwa ufasaha wanafikiria kutoa hotuba zisizo na mwisho.Waandishi wa BBC siyo wa Tz Daima, kumpamba mtu.
Ukiulizwa swali usitoe hotuba jibu ndiyo au hapana na sababu zake.