Kikazi zaidi

Hapo anaiba lakini moyo unamdunda kweli kweli teh.
 
Ukiwa kazini lazima ugangamale...macho yamemtoka utafikiri mfupa wa nyama umemkaba
 
Akina kushangaa kitochi hamna
Huyo demu kazi ya ndole anaiweza, niulize kwanini?

Amesubiri mduara umechanganya na anajua fika watu wameshakuwa mitungi kiasi fulani, ndipo na fursa anaitumia
 
Huyo demu kazi ya ndole anaiweza, niulize kwanini?

Amesubiri mduara umechanganya na anajua fika watu wameshakuwa mitungi kiasi fulani, ndipo na fursa anaitumia

Na wanapenda sana gesti za kwa babu
 
Nilikuwa nafanya field....!!!qui qui quiiiii

mshana jr Kiongozi nitakufunga, unafahamu ya kuwa ushahidi nnao ingawa wewe uliyasema haya meneno mwaka jana.

Usinifanye mtoto mdogo, hapa nishapata jibu ya kuwa wewe ni mwanachama mzuri katika mambo yetu yaleee.

Na ntakapokufunga wewe na ushahidi ninao ni pale uliposema maneno haya kwenye mada fulani MMU mwaka jana "HARUFU mimi sinunui K"

Bisha kama nnayosema ni ya uwongo
 
Loh...! Hiyo seva yako hiyo ni kweli kabisa kaka mimi huwa sinunui Rambo napewaga ofa tu
 
HARUFU hahahahaaaa umenikumbuka ndondi za utotoni wallah
Wenzio tulikuwa tunachonganishwa mpaka na wamama(wasichana wa enzi zao).

Ngumi mwanzo mwisho.

Wale wamama hawafai, unajua walikuwa na tabia ya kuwachonganisha watoto wadogo mbaya zaidi wazazi wao wakiwa hawapo
 
Walikuwa washenzi sana halafu watoto wakiumizana wanawafundisha kusema uongo kuficha maovu yao
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…