Kaparo JF-Expert Member Sep 7, 2013 2,059 5,024 Jun 4, 2017 #3 merengo90 said: inaitw fulu masinondo Click to expand... Hapo akipotea ataweza kurudi buti limeota nyasi.
merengo90 said: inaitw fulu masinondo Click to expand... Hapo akipotea ataweza kurudi buti limeota nyasi.
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 11,136 19,872 Jun 5, 2017 Thread starter #5 Hiyo ni drill mission ya sake, Goma, DRC
Mbimbinho JF-Expert Member Aug 1, 2009 8,328 7,775 Jun 5, 2017 #6 Duh, hawa jamaa huo mzigo kwake unakuta kama hajabeba kitu. Heshima kwao wanajeshi wetu.
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 11,136 19,872 Jun 5, 2017 Thread starter #7 Huyo ni komando kijana kutoka 92kj ngerengere
20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,147 7,128 Jun 6, 2017 #9 kaparo aloizay said: Hapo akipotea ataweza kurudi buti limeota nyasi. Click to expand... akiji camoflage.. utaenjoy show. unapita anakuchora tuuuu
kaparo aloizay said: Hapo akipotea ataweza kurudi buti limeota nyasi. Click to expand... akiji camoflage.. utaenjoy show. unapita anakuchora tuuuu
M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 6,027 9,493 Jun 6, 2017 #10 Hapo ana kila kila kitu hadi sufuria