Kikaoni

Kikaoni

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Wako kwenye kikao

12439178_689341044540236_4953715510738955297_n.jpg
 
Mimi naona mapaka kama yale ya pale kwa yule bi nyau magomeni makanya(RIP)

Sasa inakuwaje watu wanajadili uchawi au wao wameona nini? Inawezekana hata kwa yule bibi walikuwa wanaona tofauti na Mimi

Nisaidieni mnachoona ni nini
 
Unaona mapaka kama mimi!!!!
 
Mimi naona mapaka kama yale ya pale kwa yule bi nyau magomeni makanya(RIP)

Sasa inakuwaje watu wanajadili uchawi au wao wameona nini? Inawezekana hata kwa yule bibi walikuwa wanaona tofauti na Mimi

Nisaidieni mnachoona ni nini
Baada ya huyo bibi kufa mpaka leo hayo mapaka bado yapo??
 
Funny.,......
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom