Kikao Wana-Mtwara na Lindi kesho

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
[h=6]Wadau wote kutoka Lindi na Mtwara anayeguswa na maendeleo ya watu wetu ningeomba tukutane jumapili tar 24th July 2011 saa 8 mchana pale Mlimani city. Naamini mna nia njema na mmejihamasisha vya kutosha kujua kuwa ni wakati wa ku-take action badala ya maneno matupu. Naomba tuwahamasishe wengine na kila mmoja aje na watu wengine ili tuandike kurasa mpya ya maendeleo ya kusini. Namba yangu(Geoff Mwambe) ni 0655 509891 na 0784 509891.[/h]
Wote wapenda maendeleo mnakaribishwa
 
Wana mtwara na lindi hlf mnakutana mlimani city! Mngekutana huko huko. Ushauri tu.
 
Msiache kujadili kuzorota kwa ujenzi wa barabara ya kusini maeneo ya Mhoro Rufiji baada ya uchaguzi kumalizika.
 
[h=6]Wadau wote kutoka Lindi na Mtwara anayeguswa na maendeleo ya watu wetu ningeomba tukutane jumapili tar 24th July 2011 saa 8 mchana pale Mlimani city. Naamini mna nia njema na mmejihamasisha vya kutosha kujua kuwa ni wakati wa ku-take action badala ya maneno matupu. Naomba tuwahamasishe wengine na kila mmoja aje na watu wengine ili tuandike kurasa mpya ya maendeleo ya kusini. Namba yangu(Geoff Mwambe) ni 0655 509891 na 0784 509891.[/h]
Wote wapenda maendeleo mnakaribishwa

ruvuma hususani tunduru vipi haituhusu?
 
kikao kimeisha? mmediscuss nini na mimi naguswa ila nimechelewa kupata taarifa. next time utoe tangazo mapema ili tujipange maana mishe mishe za hapa town si unazijua inabidi tujipange katika swala zima la muda.
 
Cool, nilipata tangazo late, so hope next time tutajulishana, na feedback nitazitoa soon nikizipata coz nilikuwa safarini.
 
Back
Top Bottom