Kikao Rais na serikali na TRA

Yale ya bureau za Arusha kuchukuliwa na jeshi yatajulikana kesho.
 
Waliohailisha mkutano wao pale viwanja vya mnazimmoja hawajapewa ugeni!
au ndo ujumbe ulifika!
kwahiyo wasubili majibu kesho?
 
Ukimtuma mbwa 'kamata' na akakamata kweli, siyo sahihi kumlaumu kwa kusema mimi sikukutuma ukamate. Ndivyo mkulu alivyowageuka TRA
 
HONGERA SANA MH.RAIS..NAAMINI KESHO UTAWATENDEA HAKI WATANZANIA KUHUSU KODI ZISIZO NA KICHWA WALA MIGUU..NAAGIZA MZIGO WA MILIONI 10 NAAMBIWA KODI MILIONI 7..DUH MUNGU TUSAIDIE..MH.RAIS FANYA MAAMUZI MAGUMU WATU WAFANYE BIASHARA, AJIRA HAMNA.
 
Ngoma bado mbichi,
Inaitwa,mwaga ugali sisi tunamwaga mboga
Eheheh siasa na biashara wapi&wapi.
 
Mimi ndio maana huwa sipendi kusikia mtu akiilaumu Taifa Stars hata ifungwe 80-0. Maana hawa wachezaji hatujagharamia elimu yao kama tunavyogharamia za hawa wasomi wetu na still tunafeli. Ni vile tu Taifa Stars wanacheza hadharani ndio maana tunawalaumu hovyo hovyo.

Huyu aliyeandaa hii ratiba, anasema kwamba...0815 - 0820 mchana mgeni rasmi ataondoka, halafu 0820 - 0900 WOTE watakula chakula cha mchana....aaaah, tuyaache tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!
 
Kuandaa ratiba tu kazi ,,


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…