Problem is not getting married pal, suala ni kuchunguzana na kufahamu uhuru wa kila mtu, kabla na baada ya ndoa. Unajua iko hivi:-
- mnapokuwa marafiki (kabla ya ndoa), kukutana ili kuwa pamoja huwa ni kwa nyakati maalum tena wakati mwingine kwa appointment.
- kuna kuulizana maswali ikiwemo upo wapi honey, unafanya nini saa hizi, and in most cases kuna kupeana pole iwapo mpenzio amekwambia kuwa yupo kazini mpaka muda wa usiku!
PROBLEM: Mnapooana, mnakuwa pamoja kwa wakati mwing kila siku. Uwepo au Kutokuwepo kwa mwenzio kwa nyakati fulani, huleta impression tofauti hasa baada ya kugundua vijitabia fulani fulani alivyonavyo mpenzio ambavyo hukuweza kuvifahamu kabla ya kuoana!
SOLUTION: - Mvumilie mpenzio iwapo vijitatizo alivyo navyo ni vidogo (Just learn to live with them).
- Hakuna haja ya kukwaruzana. Hata kama anawasiliana na his/her ex, itafika wakati ataacha tu baada ya kuona kuwa wewe ndiye umwonyeshao upendo wa kweli.
- Hakuna haja ya vikao, msome mwenzio ujue anapenda nini, na kipi hapendi ili mwende sawa. Hardly kukuta kuwa mnaendana kwa kila kitu.