Yeah!Nimeikumbuka ile agenda ya mwanaume kutumia facial disguises/kamafladji.hiyo ndio kalenda yetu isiyo eleweka, mwanaume ni mtu asiye eleweka siku zote.. code izo mkuu..
Mimi nasali Roman Catholic, lakini sijawahi kukubaliana na makasisi wanao suluhisha ndoa kwasababu they don't know hata ndani ya ndoa kuna nini...🤨We mzee mbona hiyo tangu kitambo. migogoro ya ndoa si inasuluhishwa na Paroko yeye anayo?