Kwa hiyo mkuu,kikao kitajadili maisha tuliyoyaishi 2014/2015?Mbona tupo nyuma sana kimijadala?Au tunatumia kalenda yetu binafsi na si hii ya 2024/2025?wanaume wenzangu hamjambo
sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa, hakikisha unaoa mwanamke ambaye naye yupo vizuri kiuchumi, kama una elimu, basi pia zingatia hilo, hakuna kuoa mwanamke asiyejishugulisha, choka mbaya, ndio hao wanakuja na mentality ya ugoli kipa mambo yakiharibika wanaenda kudanga huko.
mwanamke asiye na kazi au asiye jishughulisha amekosa sifa za kuwa mke, utakuja kunielewa mwanaume mwenzangu siku huna kazi.
nukuu! sifa za wife material zote zibakie palepale, mahusiano mengi yanaharibika kwakuwa tulichagua sura na sio mtu.
nawasilisha...........
Wewe ndio umeoa sasa, wengine wanaoanaMimi ambae nimeoa goli kipa ngoja nipite kimya kimya hapa hapanifai. Siku nikimuwezesha kiuchumi nitarudi
Tena wameoana kutegemea wachange vipato kuendesha familia.Mwanaume anakuwa anakwepa,hataki au hajui wajibu na majukumu yake ya msingi.Wewe ndio umeoa sasa, wengine wanaoana
Tulibuni kalenda yetu maalumu ili kuwapiga chenga maadui.2014/2015 miaka kumi iliyopita asee ndio mnakaa leo
Siku ukimuwezesha tu na ndoa inaanza kuota nyasi. Kama umeamua akae nyumbani na una uwezo wa kutoa mahitaji yote basi ibaki hivyo. Labda ujaribu kumuajiri kwenye issues zako, ila kumuwezesha akae sawa kiuchumi ni kuizika ndoa yako.Mimi ambae nimeoa goli kipa ngoja nipite kimya kimya hapa hapanifai. Siku nikimuwezesha kiuchumi nitarudi
Tunahitaji ubwabwa usambazwe vijijini kama umeme wa REA muhishimiwa. 🙏View attachment 3145785
Asante sana ndugu mwenyekiti.
Ni hatari sana hii kitu, ukishakuwa mwanaume ndio umeshakuwa mwanaume. Hivi vilio vinawapendeza wanawakeTena wameoana kutegemea wachange vipato kuendesha familia.Mwanaume anakuwa anakwepa,hataki au hajui wajibu na majukumu yake ya msingi.
Hilo limeisha na mchele utakuwa sio mchele kitumbo bali ule wa zanzibar ndugu wananchiTunahitaji ubwabwa usambazwe vijijini kama umeme wa REA muhishimiwa. 🙏
Mpaka hapo umepata "miishirini" kabisa na si mitano tena muhishimiwa.Khakhulu/Niyabonga mfundisi ! 🙏Hilo limeisha na mchele utakuwa sio mchele kitumbo bali ule wa zanzibar ndugu wananchi
hiyo ndio kalenda yetu isiyo eleweka, mwanaume ni mtu asiye eleweka siku zote.. code izo mkuu..Kwa hiyo mkuu,kikao kitajadili maisha tuliyoyaishi 2014/2015?Mbona tupo nyuma sana kimijadala?Au tunatumia kalenda yetu binafsi na si hii ya 2024/2025?
We mzee mbona hiyo tangu kitambo. migogoro ya ndoa si inasuluhishwa na Paroko yeye anayo?Skuizi wasio ndoa ndio wamekua walimu wa ndoa...🤣