sipati Picha Mwigulu na Mkumbo wakae pamoja
Haya, tutakuja bila kukosa na kwa wale wasiyojua siku ni jumapili ijayo.Napenda kuwatangazia wana jimbo la Iramba magharibi waishio Dar es salaam kutakuwa na kikao msimbazi centre tarehe 16/9/2012 kuanzia saa tisa kamili ukumbi mpya ( MADA KUU ) kujadili masuala ya maendeleo ya jimbo letu. Kikao hiki sio cha kichama karibuni sana
toa ajenda,usikute mnataka kuvalisha mbwa bendera.