sahivi kama tulivyokubaliana kwenye kauli mbiu zetu
hakuna kuoa single mama ataolewa na aliyempa mimba
watoto wazuri ni wale waliozaliwa 2000 hawa wengine labda itokee tu maana sometimes simba anakula nyasi akikosa nyama
ukitaka hela njoo ifate ghetto
chura muhimu kama hauna chura kama unaitwa batuli hauna tofauti na bakari
mwanaume lazima uwe mkali kutia mtu mkofi mkono usiwe mzto hata karate pia sawa taich kung fu kareti na vitunguu
wengine wataendelea na mwakan tumejipanga