Kikao cha Mabaharia cha 702(36)/5

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Habarini za maisha Wanaume wenzangu poleni na majukumu ya kifamilia na kitaifa kiujumla,

Natambua vizuri mchango wenu katika kujenga Taifa nyie ndio mliopeleka Tanzania katika Uchumi wa Kati.

Wanaume tumekuwa tukikumbana na changamoto nyingi sana katika Dunia hii tunapambana na mahusiano na Taifa kwa pamoja lakini lengo la kuwaita hapa kwenye kikao chetu hiki ni kujadili mustakabali wetu juu ya mahusiano na huko tunakoelekea mambo ni mengi mno. Lakini naomba tujadili mambo kadhaa hapa yenye faida kwetu

1. Umuhimu wa kumfanyia Volunteer Program Mwanamke unaetegema kumuoa. Hapa ni muhimu sana hasa kwa generation ya leo maana hawa viumbe wa upande wa pili hawaeleweki sana kama Msichana ukimfanyia hii program utagundua mengi sana kwake hasa tabia yake na jinsi alivyo udhaifu wake maana hawezi kupretend kwa kipind chote utakachokuwa nae lakini asijue kama anafanyiwa usahili kuna indicator ataonesha ndo uamue nini cha kufanya umsajili au umuachie mchezaji huru baada ya hapo.

2. Usimuoe kabla hajashika ujauzito au kupata Mtoto: Hapa nahitaji nguvu kubwa kuelewesha umma juu ya hii point najua hapa nitakumbana na ukinzani mkubwa sana kutokwa kwa members lakini ngoja niseme kitu hapa kama utakuruka kwenye hii engo hapa utajuta sana maana hawa Dada zetu wamesharibika sana kama sio kuisha wengi wameharibika vizazi utaweza kuangukia pua ukaoa tasa pasipo kujua kumbe mwenzako alikuwa anatumia vidonge by uzazi wakati akiwa chuo lakini huu ni mfano sio Wasichana wote wa chuo wako hivyo lakini according to statistics chondechonde baharia be careful hawa wadada watakimbia ndoa hasa za kikristo lakini wanajua fika background zao wanajua wenyewe wanadanga mno. Akili za kuambiwa changanya na zako hapa

3. Asijue kipato chako wala asset zako: Hapa wakishagundua hii password basi utapendwa mpaka ujiulize nilikuwepo wapi siku zote hizo maana watakuigizia mpaka utashngaa utadhani ni malaika kaja mfumo wa kibinadam kumbe mwenzako anaotageti zake hapo lazima atoke na cleen sheet we bila kujua utatangaza nia mapema hapo ndo utamjua uhalisia wake sekeseke litaanzia hapo miezi miwili talaka mali pasu kwa pasu pagumu hapo

4. Kwenye ujenzi wa nyumba, kununua kiwanja asihusike kabisa labda umshirikishe tu tena unampa taarifa wala hutohitaji ushauri toka kwake

5. Uchunguzi wa kina kwa mkeo mtarajiwa FBI. Lazma hapa umtrack vizuri ujue recycle yake kama mnaishi mikoa tofauti ni jambo la msingi sana hapa limekumba mchezaji wa Atalanta Illic yeye alikuwa Italy akicheza mpira mkewe akawa yupo kwao Slovenia lakini juzi alipo msurprise mkewe kwa kurudi pasipo kumpa taarifa akamkuta mkewe na jemba ndani lakini huyu alitangaza kuacha soccer hapo hapo. Tusiamame kidogo kutoa salamu za huzuni kwa ndugu yetu Illic

6. Usioe shepu, sura ndugu we tafuta mwanamke mwenye akili heshima busara na hekima plus hofu ya mungu. Tambua sura shepu vinapitwa na wakati lkn hekima busara hudumu daima main point

7. Nadhani hapa ndo mwisho wangu ngoja niwapishe ndugu zangu walio hudhuria katika kikao hiki niwape fursa ya kuchangia hoja zao hapa na mitazamo yao katika kujenga taifa na kizazi bora kijacho juu ya kuwakomboa wanaume

Leteni mitazamo yenu huru kama katiba yetu inavyotuongoza
 
Hapo kwenye namba 6, inabidi tu sura na kachura kahusike😂😂
 
Mleta uzi mkuu wa itifaki na sera za mabaharia npo na wewe naunga mkono hoja zote..
 
Mkuu naunga mkono hoja,,
Ila namba 6 sikubaliani nayo,
Umesema usichaguwe mke kwa sura au shape sababu ni vitu vya muda mchache tu,,ila ukichaguwa mwenye hekima hudumu milele,,kumbuka kama hekima itadumu milele hata ile shape less na sura isiyo na mvuto kwa huyo mwanamke pia itadumu muda mrefu,,
Kwangu Mimi sifa ya kwanza ni uzuri na shape,, hayo mengine tutaelekezana,,
Kisa cha kuishi na mwanamke mwenye jinsia tata tatizo nn?
Yaani niishi na mwanamke matako magumu kama anachoma sindano!!
Maziwa kama masikio ya tembo!!
Miguu kama amesimamia mikono?
Sura kama anapiga chafya!!
Shape kama namba 9!!
Hapana kwa kweli
 
Back
Top Bottom