Kikao cha mabachela

Kikao cha mabachela

Toosie Slide

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
788
Reaction score
960
Nawasilisha kama tulivyokubaliana kwenye azimio la hivi karibuni kwamba uvunguni mwa kitanda ndo stoo. Pia sheria za kufanya usafi ni mpaka pawe na appointment, kuosha vyombo siku ya kupika n.k hizo sheria zimebaki vilevile.
..........
 
hiyo ni dalili ya mtu...asiye jipenda....huwezi kufanya usafi eti kwaajili ya kumpendezesha mtu...!
 
Mambo hayo ndo yakujadili watu wazima wenye akili zenu?
Mchafu koge we
 
Haya mambo nilikua nafanya kabla hata sijafika 20. Sasa utu uzima huu hata kama ni bachela nishindwe kufanya usafi kwa sababu gani? Eti mpaka nitembelewe.

Man up bro, be smart inside and outside.
 
Uchafu ulokithiri, malezi mabovu ndio sababu.
 
Bachelor mie Leo nalala njaa wakati kitchen kuna mchele,unga,mayai,nyanya,vitunguu mafuta nk.Ila kwenda kupika ndo mtihani!!!
 
Nawasilisha kama tulivyokubaliana kwenye azimio la hivi karibuni kwamba uvunguni mwa kitanda ndo stoo. Pia sheria za kufanya usafi ni mpaka pawe na appointment, kuosha vyombo siku ya kupika n.k hizo sheria zimebaki vilevile.
..........
Nimefeli vigezo vya ubachela wallah
 
Back
Top Bottom