Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
Chini ya uongozi wa mkuu wa mkoa mpya Mwambungu kikao kinaendelea. Injinia Lamo anahoja sana ndani ya hiki kikao. Ana mtazamo wa kimaendeleo sana na mh. John Komba pia yupo na amesoma memo toka kwa Prof. J. Maghembe. Inaonesha wiki hii wakulima wanalipwa hela zao zote wanazoidai serikali. Kapten Komba anasema mkoa huu wa Ruvuma ni watiifu sana. Tukiruhusu wapinzani wajue mapungufu yetu wataleta vurugu kwa wananchi kwani wapinzani kasema hasa CHADEMA wataingia na hoja hiyo na kutuvuruga hapa mkoani. Mkuu wa mkoa kasema anaomba waandishi wa habari wasiandike hoja ya Komba kwani itawaamsha wapinzani... Kikao kinaendelea