Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Uchaguzi wa Ccm ni mwaka huu, mwache tu aendelee kula posho amalize muda wake atampisha Mwinyi.Kwa heshima na taadhima Mzee Mh Rais Mstaafu Shein ampishe Rais Mwinyi jr sasa.
Zanzibar huwa hawaachiani umakamu mwenyekiti hadi kipindi kikamilike wakat wa Uchaguzi wa ChamaUchaguzi wa Ccm ni mwaka huu, mwache tu aendelee kula posho amalize muda wake atampisha Mwinyi.
Dr Shein hakuwahi kumkubali Mwinyi ndio maana kamkazia huo umakamu Mwenyekiti mpaka Leo.
Bado anashikilia hiyo nafasi kihalali kabisa, anyway matamanio yako nazani yapo mbioni kutimia make uchaguzi wa viongozi ccm ngazi ya taifa utakuwa mwezi December mwaka huu.Kwa heshima na taadhima Mzee Mh Rais Mstaafu Shein ampishe Rais Mwinyi jr sasa.
Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!
Uchaguzi wa Ccm ni mwaka huu, mwache tu aendelee kula posho amalize muda wake atampisha Mwinyi.
Dr Shein hakuwahi kumkubali Mwinyi ndio maana kamkazia huo umakamu Mwenyekiti mpaka Leo.
Ni wakati sasa;-
"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba MPYA'!
Katiba kama sheria mama ipatikane KWANZA halafu SHERIA ndani ya tume ya uchaguzi zibadilike kuendana na matakwa ya Sasa!!Tumejigunza kitu hapo Kenya juzi. Kabla ya Rasimu ya Katiba ya Warioba kurudishwa mezani waiangalie marekebisho yafanyike kwenye kifungu cha Wafula Chebukati.
Katiba kama sheria mama ipatikane KWANZA halafu SHERIA ndani ya tume ya uchaguzi zibadilike kuendana na matakwa ya Sasa!!
Kumbe Shein bado hajang'atuka!? Mwinyi kazi anayo. Serikali bila chama si utata!?Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.View attachment 2348394
Ang'atuke Ili wazenji wawekwe pembeni kwenye ulaji na Mwinyi!?Kumbe Shein bado hajang'atuka!? Mwinyi kazi anayo. Serikali bila chama si utata!?
Ndugai aingie Kamati kuu kama nani? Anaingia Tulia Akson Kwa cheo chake cha Uspika automatically ni mjumbe wa Kamati kuu.Ndugai vipi nae atakuwemo ama