Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,494
- 69,374
Ndio kusema wako mateka?Kambi za MONUSCO na SAMIDRC kwa sasa zipo chini ya uliinzi mkali wa M23, na kuongeza kuwa uhuru wa kutembea kwa sasa haupo tena, huku ulinzi ukikazwa mjini, na msako mkali mjini Goma ukiendelea.