Tunajua mnaanda thread mkinusa kahabari mnakachakachua mnaitana na michango yenu mtoayo yenyewe ni ya mtu aliye aidha mnafiki na mwongo ama haelewi aandike nini. Nawaonea huruma waliowatunza kwa miezi 9.Thatha uko wapi mkuu njoo muone mzee slaa alivyoshindwa kujibu hoja yako.
Anasema wamealikwa kwenda kusikiliza kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi,
halafu hasemi kwa nini wamebagua watu wa kwenda ,
hasemi kwa nini zito na shibuda wamepanga kuwafukuza ,
hasemi zile hela wanazolipwa wanafanyia nini make hata shimo moja la choo cha shule hawajajenga.
Jifunzeni kwa alichosema waziri kijana Mahadhi ni cha kufurahisha kwa mwananchi yeyote mzalendo na akili timamu. Ndicho mwapaswa kufanya, otherwise mtalaaniwa milele. Tanzania imekuwa kwa asili kiwanda cha kuzalisha think tanks siyo empty writing boards.