Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.
Katika watu ambao nawakubali kwa utunzi Yeriko namkubali. Nadhani anamkaribia aliyekua Waziri wa Propaganda wa Ujerumani enzi ya Hitler, au Mzee yahaya
Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.
Hapo ni kuwajibika tu. Kuhusu Pinda sina evidence kumshinikiza zaidi ya kusimama kidete na kutetea jambo ambalo halijui undani wake.
Kwa hilo kaonyesha udhaifu wa hali ya juu. Hawezi hata uraisi..

Hivi msalani si kuna kinyec, kwa hiyo wewe ni...
Hana ushahidi huwa anazuka tu