mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
mmmh.... maana huku uraiani watu wanabishana kuhusu lile tukio la jana jioni na badoMtu na mchumba wake, acha waende faragha.
Swali langu ni - Hivi kitu kama hicho wanamaanisha nini? Hapo kweli kuna
upinzani? - Nawasilisha
Wakati akihailisha kikao cha bunge jana jioni' Naibu spika alitoa tangazo la
kwamba wabunge wote wa CCM na CUF kutoka Zanzibar wanaitwa kwenye
kikao fulani. Ndipo mh. zito kabwe akauliza kwa kuhoji, hata CDM wanawa
bunge kutoka Zanzibar mbona hamuwaiti kwenye hicho kikao? Naibu spika
alijibu kwa kupotezea......
Swali langu ni - Hivi kitu kama hicho wanamaanisha nini? Hapo kweli kuna
upinzani? - Nawasilisha
tuanzishe kampeni ya kuidai nchi yetu ya Tanganyika.
maana mapaka sasa Zanzibari ni kama walishajitenga kabisa sasa kilichobaki ni sisi
Nilikuwa na maana ya - kwanini wanaitana ccm na cuf tu? kwanini wasiwaite na cdm?...weka swali wazi ujibiwe,,,,cjakuelewa! "hicho wanamaanisha nini?" CJAKUELEWA!
mtu na mchumba wake, acha waende faragha.
mhhhh mambo mazito hayo. Ina maana hao wabunge wa CHADEMA toka Zanzibar si wa Zanzibari au hao wa CUF na CCM walikuwa wanaitwa kwa agenda gani hasa? mwaka huu tutaona na kuyasikia mengi