umeulizwa??
Kwani kuna ubaya gani mtu akionyesha kupafaham..?
wapo si unamona mwita
nitakuja kuwatembelea nikirudi huku niliko 😛oa.Nalog off
anlog ffo?
ndo kawaida yako kubadili herifu eeh?
mada ina husu nin? Mabishano ya nin? Yametokea wapi? Jiheshimuni!
Tujiheshimu kwani tumekunya kwenye unga??
Ubaya upo maana umetoka nje ya mada