Kijiji Tajiri zaidi Duniani

Kijiji?Mbona hakuna hata nyumba ya nyasi?Elimu bure, afya bure daaaah aisee natamani iwe kwetu mweh
mkuu,
wakati wewe kwenu eneo lenye vijumba vya nyasi ni kiashirio cha kijiji,kwa wengine eneo kama hilo wanaweza kulichulia kama kituo cha kufanyia utalii wa nje/ndani.
 
mwenyewe nimemkubali kwa kuangalia tu ile interview yake , he has motivated me so much , pia kuna kitu umenena sahihi , elimu ya darasani sio ndio elimu ya mtaani, street smartness mattters a lot in our daily life,
 
Duh, hicho "kijiji" kama nyumba yako ndo ipo katikati hapo unaweza kupotea na kuingia nyumba ya jirani.
 
Mkuu huku kwetu unaposafiri ukiona nyumba za nyasi ni dalili tosha kuwa unaingia kijijini. Daaah sijui kwetu itatokea lini?
2020 utaona bongo itakavyokuwa maviwanda yakufa mtu, kila kijiji kitakuwa kinapewa milion 50kila wiki badala ya hii ya sasa ya milion 50 kila mwaka. Ofisi ya Makonda itakuwa katikati ya bahari. Dodoma itakuwa zaidi ya New York, Arusha zaidi ya Geneva. We subiri Mkuu piga kazi tu only 4years left
 
Hiki kijiji kitazidiwa na kijiji cha Chato ifikapo mwaka 2020
 
Ndoto za Alinacha
 
Reactions: ydn
Hongera kwao ,sisi huku kwetu kijiji kikiwa maskini basi tegemea kuzaliwa omba omba tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…