Kijiji Tajiri zaidi Duniani

Kijiji?Mbona hakuna hata nyumba ya nyasi?Elimu bure, afya bure daaaah aisee natamani iwe kwetu mweh
 
Wachina wana maamuzi!! wanavyofanana sura vile bado wanajenga nyumba za kufanana!!!
 
hii sio ile HAMIDU CITY YA KIGAMBONI hahahha
nimebahatika kufika pale hamidu city kigamboni,kiukweli jamaa kajitahidi sana.

imagine hamidu aliishia standard seven lakini kapiga hatua kubwa kubwa sana kimaendekeo.

ilhali maprofesa na wasomi wetu magwiji waliobobea ktk nyanja mbalimbali za academia,legacy yao kubwa inayowapa umaarufu nchini ni kujihususha kwao ktk mivutano inayo husiana na masuala ya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…