Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijiji cha senge mkoani ruvuma.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Senior Boss, Feb 29, 2012.

 1. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,433
  Trophy Points: 280
  Mgombea alienda katika kampeni za Uchaguzi kwenye Kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma.
  Salamu ikawa hivi:

  "Mwenyekiti na Katibu wa SENGE.............. ............... .
  Ndugu Wananchi wa SENGE.......... ............... ......

  ... Vijana,Wazee na Watoto wooote wa SENGE.......... ..........
  Mabibi na Mabwana wa SENGE.
  Habari zenu.."
  #Watu Kimyaaaaaaaa..
  Akaendelea,"wa SENGE Oyyeee!"
  Wananchi,"Mwenyeweeeeeeeeee"..!
   
 2. S

  Senator p JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We mkal,uyo mgombea atakuwa wa chama cha majambazi
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,887
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 135
  lazima atakuwa na undugu na mwanaasha
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,774
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kuna shule pia hapo singida inaitwa senge
   
 5. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,636
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Tabora, wilaya ya nzega kunashule ya msingi inaitwa jina hilo, hiyo shule ipo karibu na kijiji kinaitwa mwamala.
   
 6. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,433
  Trophy Points: 280
  ndo hivyo tuangalie majina sana majina mengine sio kabisa !!!
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,817
  Likes Received: 547
  Trophy Points: 280
  Inachekesha sana. Asante meneja mkuu!
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,333
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama vile na wewe unatokea SENGE, kama unatokea huko bila shaka na wewe utakuwa m-SENGE, Haha ha ha ha ha ha a haaaaah!
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  yale yale ya tandale kwa mkunduge
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,670
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  teh teh teh
   
 11. African220

  African220 Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ya singida inaitwa SINGE
   
 12. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Safi sana, imetulia...
   
 13. ikuo

  ikuo Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  ni chifu senge sec school.Pia ni jina la chifu senge wa singida ihanja. ni jina la ukoo wa chifu senge.
   
 14. a

  amiride JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaka pale lushoto kuna shule ya msingi inaitwa mbula kwa wachaga si shughuli hiyo
   
 15. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,070
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakulima wa senge wanajitahidi sana
   
 16. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 970
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Wana JFwa Senge mpooo!! Oh sry namanisha mliotokea kijiji cha senge, teh teh.
   
 17. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  napenda niwaambie kuwa nimeanda mikakat ambayo wanakijj wa senge mtaifurahia.
   
 18. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha mkuu umenikumbusha mbali saana,mimi nimesomea Mwamala,senge ipo karibu na mwamala,nakumbuka wakati huo wanafunzi wa Senge walikuwa wanakuja kwenye Umitashumita,basi ilikuwa siku ya kufunga,utasikia Walimu wa senge na wanafunzi ******* mnaombwa kukaa upande wa huku,hahahha hapo sisi watoto wa kiswahili sio kuvunja mbavu,lakini kiaina maana kuna maticha walikuwa wapenda sifa wakiona unacheka lazima watakutolea mfano tu,hahaha miss home hakiyanani!
   
 19. T

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,035
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Searching...
   
 20. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 749
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kama wewe unatoka senge basi familia yenu wote *******.
   
Loading...