Kijiji cha mfano

Kijiji cha mfano

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,305
Najaribu kuwaza tu. Mfano akatokea kiongozi mmoja mwenye akili kama mimi akaanzisha Kijiji cha mfano labda Kisarawe huko.

Kiwe na shule ya msingi na sekondari. Kiwe na soko na maduka ya bidhaa muhimu,kiwe na msikiti na kanisa . Mwisho kiwe na ukumbi wa mikutano.

Kila mkazi awe na 50 square meter, kiwe na drainage system inayounganisha nyumba zote na pia huduma ya umeme.

Kiwe na mitaa iliyopangilwa na miti kando ya barabara,wakazi wake wawe ni familia 100 tu. Na usafiri wake ndani ya Kijiji iwe baosikeli tu. Kutokea stand kuu.

Mambo mengine yote yafanyike nje ya Kijiji hicho,mazingira yake yatavutia au hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize Masoud Kipanya (mtangazaji wa Clouds) ameshawahi kujaribu hivyo huko Tabora lakini nadhani alikutana na changamoto zilizomkatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeshawahi kufikiria the same but kwa level ya Kata kama ifuatavyo ili kweli tuweze kuwaendeleza wananchi wetu : Kuwe na kata ya mfano na hii kata iwe na vijiji 4 tuu.

Makao makuu ya hii kata pajengwe ofisi kubwa ya kata yenye vitu vifuatavyo : ofisi ya WEO, huyu WEO lazima awe na digrii au masters...

Ofisi ya afisa kilimo wa kata, awe graduate pia, ofisi ya afisa mifugo - graduate, ofisi ya afisa maendeleo jamii wa kata, afisa ushirika, afisa Misitu, afisa biashara, afisa mazingira, afisa Wanyamapori, afisa elimu wa kata, mshauri wa mgambo wa kata n.k kila mmoja awe na ofisi yake.

WEO awe na gari yake Toyota land cruiser hardtop, na maafisa wengine wote wawe na gari aina ya Toyota hilux double cabin. Jirani na ofisi ya kata kuwe na kituo cha polisi cha kata chenye kila kitu, magari, pikipiki, computer, umeme /solar, kuwe na hospital ya kata yenye hadhi zaidi ya kituo cha afya na iwe inatoa huduma zote za muhimu.

Pia hapo jirani pawe na Sekondari kubwa ya Bweni kwa ajili ya wanafunzi wanaotoka kwenye shule za msingi za kila kijiji. Kuwe na mahakama ya kata iliyokamilika na kuwe na gereza dogo. Sasa ukitoka kwenye kata kwenye kila kijiji kuwe na mtaalamu wa kila fani muhimu anayekaa huko huko kijijini.

Kila kijiji kuwe na majengo ya ofisi za kijiji zenye chumba cha mwekiti, VEO, ukumbi wa mikutano, mahabusu ndogo, na kila mtaalamu awe na ofisi yake pale kwenye majengo ya ofisi za kijiji. Kila kijiji VEO na kila mtaalamu wawe na nyumba yake nzuri, yenye umeme /solar, maji nk.

Kila mtaalamu, VEO na mwenyekiti wa kijiji wapewe usafiri rahisi wa gari mfano vile vigari vi Suzuki na kila mwezi wapate mafuta kupitia akaunti zao za mishahara. Kila kijiji kuwe na polisi post yenye gari 2 na pikipiki.

Vijiji vyote 4 vipimwe na kufanyiwa land use plan, udongo wote upimwe na aina ya mazao ya kupandwa kila msimu yajulikane. Mifugo yote ijulikane na idadi ya juu ya mifugo inayotakiwa kufugwa ijulikane na sheria ndogo zitungwe.

Idadi ya wanakijiji ijulikane na sheria kali iwekwe kwa wahamiaji kutoka nje ya kijiji. Kila kijiji kiwe na shule 2 za msingi na moja ya sekondari ya day. Kila mwanakijiji awe na shamba lililopimwa kusilopungua ekari 5 na awe anazilima.

Kila kijiji kuwe na gulio/soko, zahanati, godawn la kuhifadhia mazao kila kitongoji, sehemu maalumu za kuchungia mifugo, kuoshea mifugo, viwanja vya michezo, barabara za mitaa au vitongoji, maji ya bomba au visima.

Kabla ya msimu wa kilimo kuanza wataalamu wapite vijiji vyote na kupanga mikakati ya kilimo, mbegu na pembejeo zinazohitajika na jinsi ya kuzipata (kwa mkopo kutoka makampuni mbalimbali yaliyosajiliwa kuleta pembejeo na kununua mazao etc).

Kila mtaalamu kwenye kijiji chake ahakikishe mashamba yote maandalizi yameanza kwa wakati... Nitaendelea next time, yaani hii kata ya mfano inatakiwa iwe ndiyo engine ya maendeleo
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IROKOS

Tayali tumeshaanza kikijenga kwenye kata ya Chato.tumeanza na uwanja wa kimataifa wa ndege,jengo kubwa la TRA,màhakama kubwa,taa za kuongozea magali /japo barabala ni moja tu bandari ya kisasa ujenzi unaendelea,uwanja wa mpira wa kisasa/mabenk makubwa /japo wateja hakuna n.k
 
Unapokuwa unasoma chuoni unakuwa na idea nyingi na matumaini tele ya kufanya mabadiliko chanya. Unaona mwanga ulio mbele,unaona walioko huko makazini wote wanakosea!

Pata ajira sasa, unakutana na watu wanaoitwa watendaji vijiji,kata,Diwani,wenyeviti wa vitongoji,kamati za ardhi,afisa mipango miji,injinia wa halmashauri,afisa ustawi na maendeleo jamii,mwekahazina,Mwenyekiti wa halmashauri na madiwani wake. Hawa wote wanataka posho za vikao na nginginezo. Hawa mpaka upitishe wazo lako basically wewe ni mwamba!

Nyumbani, watoto,ndugu jamaa nao wanataka uwahudumie! Taratibu ideas zinapotea,unakubaliana na hali halisi,unakuwa mla rushwa mzuri,mlevi mzuri na mwisho ndio yameisha! Unaacha Kama yalivyo!

Poleni wasomi wetu! Poleni wahitimu msio na ajira. Mnawaza vizuri lakini mfumo hauwapi nafasi.
 
Najaribu kuwaza tu. Mfano akatokea kiongozi mmoja mwenye akili kama mimi akaanzisha Kijiji cha mfano labda Kisarawe huko.
Kiwe na shule ya msingi na sekondari. Kiwe na soko na maduka ya bidhaa muhimu,kiwe na msikiti na kanisa . Mwisho kiwe na ukumbi wa mikutano.
Kila mkazi awe na 50 square meter, kiwe na drainage system inayounganisha nyumba zote na pia huduma ya umeme.
Kiwe na mitaa iliyopangilwa na miti kando ya barabara,wakazi wake wawe ni familia 100 tu. Na usafiri wake ndani ya Kijiji iwe baosikeli tu. Kutokea stand kuu.
Mambo mengine yote yafanyike nje ya Kijiji hicho,mazingira yake yatavutia au hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Then what?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivo vipo vingi sana chato, tayari kiongozi mwenye akili kashajenga.
 
Kukiwa na huo mlolongo wa uongozi hiyo kata haifiki mahali,heri kiongozi mmoja na watu wake kama machifu wa zamani
Mimi nimeshawahi kufikiria the same but kwa level ya Kata kama ifuatavyo ili kweli tuweze kuwaendeleza wananchi wetu : Kuwe na kata ya mfano na hii kata iwe na vijiji 4 tuu. Makao makuu ya hii kata pajengwe ofisi kubwa ya kata yenye vitu vifuatavyo : ofisi ya WEO, huyu WEO lazima awe na digrii au masters... Ofisi ya afisa kilimo wa kata, awe graduate pia, ofisi ya afisa mifugo - graduate, ofisi ya afisa maendeleo jamii wa kata, afisa ushirika, afisa Misitu, afisa biashara, afisa mazingira, afisa Wanyamapori, afisa elimu wa kata, mshauri wa mgambo wa kata n.k kila mmoja awe na ofisi yake. WEO awe na gari yake Toyota land cruiser hardtop, na maafisa wengine wote wawe na gari aina ya Toyota hilux double cabin. Jirani na ofisi ya kata kuwe na kituo cha polisi cha kata chenye kila kitu, magari, pikipiki, computer, umeme /solar, kuwe na hospital ya kata yenye hadhi zaidi ya kituo cha afya na iwe inatoa huduma zote za muhimu. Pia hapo jirani pawe na Sekondari kubwa ya Bweni kwa ajili ya wanafunzi wanaotoka kwenye shule za msingi za kila kijiji. Kuwe na mahakama ya kata iliyokamilika na kuwe na gereza dogo. Sasa ukitoka kwenye kata kwenye kila kijiji kuwe na mtaalamu wa kila fani muhimu anayekaa huko huko kijijini. Kila kijiji kuwe na majengo ya ofisi za kijiji zenye chumba cha mwekiti, VEO, ukumbi wa mikutano, mahabusu ndogo, na kila mtaalamu awe na ofisi yake pale kwenye majengo ya ofisi za kijiji. Kila kijiji VEO na kila mtaalamu wawe na nyumba yake nzuri, yenye umeme /solar, maji nk. Kila mtaalamu, VEO na mwenyekiti wa kijiji wapewe usafiri rahisi wa gari mfano vile vigari vi Suzuki na kila mwezi wapate mafuta kupitia akaunti zao za mishahara. Kila kijiji kuwe na polisi post yenye gari 2 na pikipiki. Vijiji vyote 4 vipimwe na kufanyiwa land use plan, udongo wote upimwe na aina ya mazao ya kupandwa kila msimu yajulikane. Mifugo yote ijulikane na idadi ya juu ya mifugo inayotakiwa kufugwa ijulikane na sheria ndogo zitungwe. Idadi ya wanakijiji ijulikane na sheria kali iwekwe kwa wahamiaji kutoka nje ya kijiji. Kila kijiji kiwe na shule 2 za msingi na moja ya sekondari ya day. Kila mwanakijiji awe na shamba lililopimwa kusilopungua ekari 5 na awe anazilima. Kila kijiji kuwe na gulio/soko, zahanati, godawn la kuhifadhia mazao kila kitongoji, sehemu maalumu za kuchungia mifugo, kuoshea mifugo, viwanja vya michezo, barabara za mitaa au vitongoji, maji ya bomba au visima. Kabla ya msimu wa kilimo kuanza wataalamu wapite vijiji vyote na kupanga mikakati ya kilimo, mbegu na pembejeo zinazohitajika na jinsi ya kuzipata (kwa mkopo kutoka makampuni mbalimbali yaliyosajiliwa kuleta pembejeo na kununua mazao etc). Kila mtaalamu kwenye kijiji chake ahakikishe mashamba yote maandalizi yameanza kwa wakati... Nitaendelea next time, yaani hii kata ya mfano inatakiwa iwe ndiyo engine ya maendeleo

Umenena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaza tu. Mfano akatokea kiongozi mmoja mwenye akili kama mimi akaanzisha Kijiji cha mfano labda Kisarawe huko.
Kiwe na shule ya msingi na sekondari. Kiwe na soko na maduka ya bidhaa muhimu,kiwe na msikiti na kanisa . Mwisho kiwe na ukumbi wa mikutano.
Kila mkazi awe na 50 square meter, kiwe na drainage system inayounganisha nyumba zote na pia huduma ya umeme.
Kiwe na mitaa iliyopangilwa na miti kando ya barabara,wakazi wake wawe ni familia 100 tu. Na usafiri wake ndani ya Kijiji iwe baosikeli tu. Kutokea stand kuu.
Mambo mengine yote yafanyike nje ya Kijiji hicho,mazingira yake yatavutia au hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo limekaa poa sana mkuu. Naongezea hapo ili kiwe cha mfano. Kuwe na tren ya mwendo kasi kutokea stand,stand ambayo ndio mwisho kutokea miji mingine kuingia kijiji cha EDEN. Hiyo tren uzunguke kupitia kijiji cha eden,iwe kuwachukua watu kwenda makazini na kuwarudisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaza tu. Mfano akatokea kiongozi mmoja mwenye akili kama mimi akaanzisha Kijiji cha mfano labda Kisarawe huko.
Kiwe na shule ya msingi na sekondari. Kiwe na soko na maduka ya bidhaa muhimu,kiwe na msikiti na kanisa . Mwisho kiwe na ukumbi wa mikutano.
Kila mkazi awe na 50 square meter, kiwe na drainage system inayounganisha nyumba zote na pia huduma ya umeme.
Kiwe na mitaa iliyopangilwa na miti kando ya barabara,wakazi wake wawe ni familia 100 tu. Na usafiri wake ndani ya Kijiji iwe baosikeli tu. Kutokea stand kuu.
Mambo mengine yote yafanyike nje ya Kijiji hicho,mazingira yake yatavutia au hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hayo ni mawazo jenga sasa tuone itavutia au laaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom