Kijana woti aa yu duingi hiya?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
e8dbb9cf5c665c4b20058e05740e8395.jpg
 
May be, lakini Bongo movie zenu zimejaa waigizaji wengi wasio na vipaji. Wanalazimisha fani tu.
siitofautishi na scene ambayo jambazi anaingia ndani na mtutu, anateka watu, amri na vitisho vya kuogofya lakini miguuni yuko peku. kaacha viatu nje!!!! ngoja tuendelee kuwa na uwezo mdogo kufikiri na kuchambua ila sio kuaminishwa yasiyoendana na uhalisia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom