kimyama nje
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 361
- 408
Kubeti huku kunajamaa kabeti had hella ya watu sasa anaishi kama vimpire anaonekana usiku tu.
Sawa mkuu
Hili limegonga mwamba,nilijaribu kufanya hivoTafuta mtu mwenye ushawishi ndani ya familia unaye patana nae, muelezee mkasa na hatua ulizochukua hadi sasa na kisha muombe akusaidie kwa muhula uliopo sasa