Kijana wa Rwanda alietajirika kupitia Facebook

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Wakati watu wengi hutumia mitandao ya kijamii kwa kupiga stori na jamaa na marafiki zao,wengine hujaribu bahati zao kimaisha kwa kutumia mitandao hiyo.

Kijana mmoja Hassan Habiyambere anasema kwamba ujumbe mmoja tu katika Facebook ulimfungulia milango ya utajiri.

 
Back
Top Bottom