Kijana wa kiume anahitajika.

Kijana wa kiume anahitajika.

Ndama Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
1,540
Reaction score
1,546
Ndugu habari za usiku! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kijana wa kiume ambaye atakuwa anawahudumia kuku wa mayai.malazi kwangu na chakula,mshahara utaongezeka pindi kuku watakapoanza uzalishaji yani kutaga mayai, kijana awe muanifu na mwenye uzoefu kidogo katika maswala ya ufugaji.
Aliye tayari au mwenye kijana au ndugu yake ambaye hana kazi ani PM tujadili zaidi.eneo la kazi ni mkoa mpya wa songwe.
Ahsanteni sana
 
Samahani wewe ni Ke au Me ukinijibu nitakuja baadae
 
Kwenye Familia Yenu Wote wameajiriwa au hakuna anayehitaji kusaidiwa? Kama wapo kwa nini Usimchukuwe mmoja wapo na ukampa Good Counselling na kumlipa hicho kiwango ambacho kitakuwa kwa ufanisi ili badae ajitegemee..
Wote wameajiriwa!
 
Daah, anko umeongea kitu cha maana sana, inaonekana dhahiri huyo kijana atakaepatikana ataumia sana ndo maana hataki kuwapa ndugu zake hiyo fursa.

Kama kweli yuko serious awatafute livestock officer waliosoma animal health ngazi ya cheti mfanye kazi.
 
Mkuu hakuna Ukoo usiokuwa na extended Family hakuna hata kama close family ambao kwa namna moja au nyingine hawana hata kitu cha kujishughulisha sasa kuhitaji mtu nje wakati kuna watu wa karibu .

Nimejifunza kusaidia ndugu wa karibu kabla ya kwenda mbali maadamu yupo tayari kulipa vizuri I think charity should begin at home kwa kurudisha kipato hicho nyumbani.
 
Wabongo bana mtu ametoa fursa hiyo kama unakijana muunganishe,tunaanza ooh angalia kwenye ukoo wako sijui nini,

Una kijana mpeleke akiona kazi ngumu atasema, huna pita kimyakmiya sio kuwavunja watu mioyo kua ndugu yao atateseka sio poa.
 
Itabidi afanye ivo kama ana nia chanya.
 
Wabongo bana mtu ametoa fursa hiyo kama unakijana muunganishe,tunaanza ooh angalia kwenye ukoo wako sijui nini,

Una kijana mpeleke akiona kazi ngumu atasema, huna pita kimyakmiya sio kuwavunja watu mioyo kua ndugu yao atateseka sio poa.

Mkuu Projeck aliyonayo Mdau inahitaji Mtaalam akimuweka mtu ambaye hajabobea kwenye hiyo fani ataishia kumchoma moto tu.. Kwa hiyo ni bora hizo karaha azifanye kwa Ndugu zake kama hawezi kuajiri Mtaalam wa Livestock.

Mkuu tunapokuwa tunachangia hatuangalia kuwa kijana atapata ajira bali tunaangalia hata mleta mada anataka nini.. Kumbuka kutakuwa na monthly increment kama kazi ikiwa nzuri sasa unaonaje huu mzunguko akaupiga kwa ndugu yake mmoja hivi au Kama hawezi kuliko kumchukuwa mtu ambaye hata hajui A wala z kuna vyuo vingi vya Kilimo na Livestock kwa nini asichukuwa graduants mmoja.

Hakuna Mbaya Mkuu tunatofautiana Mitazamo
 
Wabongo bana mtu ametoa fursa hiyo kama unakijana muunganishe,tunaanza ooh angalia kwenye ukoo wako sijui nini,

Una kijana mpeleke akiona kazi ngumu atasema, huna pita kimyakmiya sio kuwavunja watu mioyo kua ndugu yao atateseka sio poa.
Kweli kabisa mkuu, kama ni fursa hata ndugu zake ni wabongo na wanahitaji hiyo fursa. Labda kama anakusudia kuongeza ukoo kupitia huyo kijana.
 
Nimelala na bundi au? Naondoka Mbeya ndiyo fursa inajitokeza.

Mkuu utapata kijana umtakaye.
 
Hivi mnaouliza kuhusu ndugu zake mshawahi fanya kazi na ndugu? mnajua lawama za ndugu nyie? mi naona bora nifanye kazi na mtu baki lakini ndugu nimtafutie mchongo mwingine, kwanza hatochukulia serious hiyo kazi pili lazima tu akuseme kwa wajomba etc.
 
kuna kijana jirani hapa kamaliza shule naona yupoyupo anaweza kukufaa
 
Back
Top Bottom