SABUNI YA MAGADI.1. Unakaaje kwa dada yako..Mbaya zaidi kwa dadako mwenye mchumba au aliyeolewa..huoni aibu?
2. Unampigiaje simu shemeji yako (aliyemuoa dada yako) na kuanza kucheka cheka...
Acheni mambo ya ajabu! Umezaliwa mwanaume ili ujitambue..
Ww sema tu kuna mtu, umemlenga acha kutuzugaNmeandika vijana wajitambue