Kijana wa Kitanzania

Labla kwa sababu ukifanikiwa kwenye biashara ni faida yako mwnyw na utawazidi hao waliokusaidia
 
Lamomy birthday yako lini nichangie...

Kufa kufaaana tuu mzee
Huwezi amini katika vitu sivitilii maanani basi ni birthday, mashosti zangu walishapeleleza birth date yangu wani surprise walichemka..!!

Kuna kamtu kamoja tu ndo kalijua na kaliwahi kuni surprise nako nilikasamehe sababu ya umri wake na umuhimu wake kwangu..!!
 
Hahahaha weka date bwana tuchange pesa ya cake chaap
 
Take it easy bro.

Fanikiwa ila usifanikiwe kutuzidi.


Tobo lako toboa mwenyewe .


Ukishaujua ukweli , Kuna kazi ya kuukubali ukweli. Kuuishi ukweli ..
Maneno mazito sana haya mkuu🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…