L lawyer2 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 224 Reaction score 67 Feb 5, 2021 #1 Natafuta kijana wa kazi ya shamba ya kutunza Nguruwe.Nahitaji awe na uzoefu wa kazi hii hasa ulishaji,upandishaji na utunzaji wa watoto. Shamba lipo Morogoro manispaa. Tuwasiliane kwa sms kwa 0686 666666
Natafuta kijana wa kazi ya shamba ya kutunza Nguruwe.Nahitaji awe na uzoefu wa kazi hii hasa ulishaji,upandishaji na utunzaji wa watoto. Shamba lipo Morogoro manispaa. Tuwasiliane kwa sms kwa 0686 666666
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,855 Feb 5, 2021 #2 Wamelala ngoja waamke..