nipo2
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 467
- 560
Hongera kwake!
Kama itawezekana na atapenda anapokuwa akisubiri matokeo ya ASCEE yatoke hadi kwenda chuo nadhani;
Atafutiwe mahali anapoweza kujiongezea ujuzi kwa kuchagua kusoma kozi fupi zitolewazo na VETA.
Atafutiwe mahali anapoweza fanya kazi kama ni kwa watu binafsi/Taasisi yoyote afanye kazi yoyote ya kujitolea lakini iwe inampa ujuzi hata kama ni kwa malipo kidogo au pasipo malipo.