Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Mama mhuni ni mhuni tu tena walimstahi sana wangempima oil.Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.
Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.

jf msada tafadhali nipeni jibu vijana wanachama washabiki wa ccm huitwa vijana wa kesho
upande2 vijana wanachama na washabiki wa cdm wanaitwa vibaka wahuni
Inakuweje kijana lika 1 maadili tabiya tamaduni wote ni zakitanzania 1 aitwe mhuni mwingini taifa la kesho sababu vyama msada tafadhali
nawasilisha
Ingawa thread yako haina nyama lakini ninachoweza kusema hata vijana wa Benghazi waliitwa wahuni lakini leo ndio wenye serikali.
Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.
Ingawa thread yako haina nyama lakini ninachoweza kusema hata vijana wa Benghazi waliitwa wahuni lakini leo ndio wenye serikali.
Mama mhuni ni mhuni tu tena walimstahi sana wangempima oil.