@Smart911[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
@Smart911
Kwa hiyo Kama maisha anapanga mola ndio vijana wawekeze kwenye papuchi.....?Acha kuwapotosha vijana wewe. Yaani wakose papuchi kisa kubania elfu kumi? Unajua madhara ya kujibanabana kufanya ngono wewe? Na unajua kwamba maisha ni leo, na ya kesho anayapanga mola?
Wapo waliojifanya wagumu wakabana Kama unavyoshauri lkn hawakutoboa mpk wakaenda kaburini. Mungu akikuandikia unaweza kuwa tajiri hata kwa kuokota jiwe la Tanzanite kama ilivyotokea kwa Laiza (yule mmasai).
Vijana kuleni raha, elfu kumi kitu gani bana.
Siku hizi sio vitu vizito tena ni makabati yanawaangukoa vichwani