Kijana; Usibabaishwe na wanawake

Pamoja sana mkuu
 
Nitapambana mpaka kifo
 
Kweli wewe gangwe mkuu. Ila umekuwa tofauti kidogo asee, wanaume wengi wanakuwa na suruali chache mashati mengi ila wewe ulikuwa na suruali nyingi mashati machache!

Hongera kwa ugumu.

Mkuu hapo umenikuna...

Maneno yako yanaendana na idadi za nguo zangu. Salute kwako Mkuu


Kweli wewe gangwe mkuu. Ila umekuwa tofauti kidogo asee, wanaume wengi wanakuwa na suruali chache mashati mengi ila wewe ulikuwa na suruali nyingi mashati machache!

Hongera kwa ugumu.
 
Hongera kwa kufanikiwa.
Mada ni nzuri pia, inavutia.

Penzi halijengwi kwa kuhonga, lakini usishindwe kutoa Pesa eti kisa hutaki kuhonga.
Namaanisha usitumie Pesa kujenga penzi ila usije kuacha kutoa matumizi kwa mpenzi wako.

Hakika, kijana ukiwa mtumwa wa wanawake, huwezi kufanikiwa. Lakini jiweke vizuri.
Ubahiri usivuke kiwango
 
akhuuuu...

siitaki ndoa kwa pupa mie ,nirudi na talaka
mume mwenyewe wa Jf[emoji23] [emoji23]
anakuanzishia uzi hapa umemnyoa nywele za kwapani vibaya[emoji3] mna maana nyie
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]

Mimi sio mtoto Mkuu. Nimekomaa kiakili.

Wanaume wa dizaini yangu tupo wachache sana.
 
Umenena iliyokweli.

Neno Kubabaishwa limetumika kumaanisha, kufanya mambo yakijinga yasiyo na manufaa kisa wanawake.

Mfano; kupenda kuvaa nguo nyingi za gharama tofauti na kipato. Kununulia wanawake vitu kama pombe, chakula wasio na positive impact kwako n.k.

Sent from my Galaxy Nexus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…