Kijana; Usibabaishwe na wanawake


Maneno kuntu sana.


Pamoja mzazi umewakilisha vyema kiumeni
 
Mkuu
Sinabudi nikusalute..kwanza fikra zako hazina option ya kitu kinachoitwa kushindwa..
Pili kujiamini kua uliwazalo lazma litimie na chamsingi sana ni VIPAUMBELE ulivyojiwekea..
Vipaumbele ndio mwongozo wa maisha ya binadamu yeyote yule..

Tusichoke kuwashauri vijana wenzetu wanaofanya mambo kupata approval ya wadada..ambayo haina VAT kwa maendeleo yao
 
Wagumu classic
 
Gud
Spend less save More
 
Habari wakuu....
Very inspirational, very...hasa hizo za kuona aibu, kutaka kuajiriwa, kutotaka kuchukuwa mzigo wauze, kutotaka kufanya ujasirimala mdogo mdogo...
Ila kubabaishwa lazima mkuu, time will tell, kwa mwanaume mwenye afya yake hakuna aliyepona baba, swala uwe ngangari..
Ila hii story ntawapa wadogo zangu, vijana mtaani, mabibi wanaodai wamezaa nami n.k. Love it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…